| POST | DEREVA DARAJA LA II - 1 POST |
| POST CATEGORY(S) | DRIVER'S |
| EMPLOYER | Mamlaka ya Majisafi na Usafi na Mazingira Mjini Nzega (NZUWASA) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-01-17 2022-01-30 |
| JOB SUMMARY | N/A |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kuhakikisha kuwa magari yote na vifaa vingine vinawekwa chini ya ulinzi; |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Cheti cha kidato cha IV, Leseni ya Udereva Daraja C ya uendeshaji magari ya aina yote, Cheti cha udereva kutoka NIT au chuo kinachotambulika na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS B |
