POST | FUNDI SANIFU MAABARA II (WATER LABORATORY TECHNICIAN II) – 3 POST |
POST CATEGORY(S) | WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES |
EMPLOYER | Ministry of Water and Irrigation |
APPLICATION TIMELINE: | 2022-03-25 2022-04-07 |
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Uchukuaji wa sampuli za maji na udongo kwa ajili ya upimaji; ii.Kufanya matengenezo ya vifaa vya maabara ya kawaida na ya dharula yanapohitajika; iii.Kufanya upimaji wa maji na udongo wa maeneo ya miradi na kuaandaa maelekezo ya matibabu yanayohitajika; iv.Ukusanyaji wa takwimu za hali ya maji na udongo zinazohitajika kwenye maeneo ya miradi; v.Kufanya uchunguzi wa sampuli za maji safi na maji taka kwa kutumia vifaa maalum (specialize equipment) kama vile Atomic Absorption Spectrophotometer, Kjeldah na mashine nyinginezo; vi.Kubaini viwango vya kiasi cha madawa yanayohitajika kwa kutibu na kusafisha maji (dosage); vii.Kufanya uchunguzi wa madawa ya kutibu na kusafisha maji; na viii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye elimu ya sekondari na cheti cha ufundi FTC au Stashahada ya Ufundi katika fani za Maabara za Maji kutoka katika chuo kinachtambuliwa na Serikali. Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta. |
REMUNERATION | TGS C |
New Job Vaccanciews: Ministry of Water
Thursday, March 31, 2022
0
Tags